Friday, September 30, 2011

SENIOR PASTOR OF COVINA ASSEMBLY CALIFORNIA, USA VISIT EBENEZER TAG

On sunday,11th september 2011 Senior pastor of COVINA Assembly los Angelos, California,USA, pastor John Johnson visited Ebenezer T.A.G church in Dodoma,Tanzania. He preached a strong message that really moved people.His message will be posted soon on this blog.Senior pastor of Ebenezer did translate from English to Swahili.Ebenezer T.A.G church was so thankful to have this man of God and he was asked to make Ebenezer to be his home church too.Glory be to God who knows the needs of his people and sends his servants from far away just to meet God's people' needs.





Pastor John praying for the people with different needs.The presence of the Lord Jesus was everywhere during this prayers.



Saturday, September 24, 2011

SENIOR PASTOR ON A SUNDAY SERVICE


REV.PROF.  PASTORY MAJEMBE

Thursday, September 1, 2011

Friday, August 26, 2011

KUMFANANIA NA KUMLINGANA MUNGU KATIKA MAISHAYETU



Utangulizi

Hakuna kitu cha maana katika maisha ya mkristo kama kuwa na mahusiano mazuri na Mungu aliye tuumba na kutuokoa. Mwanadamu ameumbwa kuwa na mahusiano na viumbe wenzake na viumbe wengine. Mwanadamu hawezi kuishi bila mahusiano na kitu kingine. Hivyo ukikosa mahusiano na Mungu utakuwa na mahusiano na wanadamu wenzako au miungu mingine na vitu ambavyo mungu ameviumba au mwanadamu amevitengeneza.

Mtu anapo jenga mahusiano na mtu mwingine au kitu anakuwa katika hali ya mwingiliano wa kihisia na kimaitikio na mtu yule au kitu kile. Anafanyika sehemu ya mtu au kitu kile na kushiriki maisha ya mtu au kitu alicho na mahusiano nacho.
Hivyo tunapotoa muda wetu, nguvu zetu, ufahamu wetu katika kujenga mahusiano na mungu wetu tunafanyika sehemu ya maisha ya mungu wetu na yeye anakuwa sehemu ya maisha yetu. Kwa kadri tunavyo dumu kufanya hivyo ndivyo hali ya kumrandana yeye inavyo zidi kuwa dhahiri katika mwenendo wetu wa kila siku.
Mrandano wa kiungo katika maisha yetu unaonekana katika semi zetu za kila siku na matendo yetu kwa viumbe wengine pamoja na maitikio yetu kwa matukio yanayo jitokeza maishani mwetu.

Nakukaribisha katika mfurulizo huu amboa utakusaidia hatua kwa hatua kumfanana na kumlingana Mungu katika maisha yako. Tutajifunza maeneo makuu yafuatayo.
  1. kumpenda mungu kikamilifu, kujipenda wenyewe kiusahihi na kuwapenda wengine kwa moyo wenye huruma.
  2. Kuchukumilia yaliyo ya milele badara ya mambo ya muda.
  3. Nidhamu ya kiroho.
  4. Kusimamia utambulisho wetu na
  5. Kutembea katika nguvu za Roho Mtakatifu.
Maeneo haya yanalenga kukutambulisha kwenye tabia za mungu ambazo tunapaswa kuzifanana kama watoto wake na kukujenga kuishi maisha yenye kumletea mungu sifa na utukufu na hivyo kupata fursa ya mungu kukutakabali katika maisha yako na kubariki kazi za mikono yako pamoja na kusikia na kujibu haja zako ambazo zipo katika mapenzi yake.